Announcements

TAARIFA-21/12/2023

Tafadhari unakumbushwa kufika ofisini na kuhakiki taarifa zako za chama by Henry Lawrence

mapumziko

Chama cha ifakara centre saccos inakutakia kheri ya chriss mass na mwaka mpya. 2024

MKUTANO MKUU

tafadhari, ukiwa kama mwanachama unakumbushhwa kuudhuria mkutano mkuu wa chama chako utakao fanyika tarehe 16/12/2023 kuanzia saa 2: 00 asubuhi asante

MAOMBI YA TAARIFA ZA MWANACHHAMA

Tafadhari unakumbushwa kutuma taarifa zako kukamilisha usajili 1. namba ya nida 2. passport 3. warithi wako 4. A/C namba

Submission of Tin numbers

Dear members the deadline for submittion of TIN numbers is today

Taarifa

Mabadiliko katika uongozi